Pages

KARIBU NASHERA HOTEL, MOROGORO - | Boma Road, LITI Area P.O. Box 237, Morogoro | Tel. +255 23 26139

Feed icon

Friday, April 11, 2008

ZUBAGY AKILIMIA...

Huyu ndiye Zubagy Akilimia. Mtunzi mahiri wa Simulizi za Kusisimua. Kazi zake nyingi hutolewa na magazeti ya Global Publishers ambayo ni Ijumaa, Amani, Ijumaa Wikienda, Risasi, Uwazi na Championi. Zaidi ya kukamua magazetini, sasa anapatikana katika blog yake ambayo ni www.akilimia.blogspot.com unaweza kumtembelea sasa hivi.

0 MAONI YAKO: